kARIBU KWENYE TOVUTI YA KAMPUNI YETU YA

CHOLEMU INVESTMENT LTD.

HISTORIA YA KAMPUNI

Cholemu Investment Limited ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2017 jijini Dar Es Salaam na kusajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 nchini Tanzania na baadae kupata kibali cha kufanya shughuli za upimaji na uuzaji wa ardhi kwa watu binafsi, vikundi na taasisi ndani ya eneo lote la nchi ya Tanzania. Kampuni yetu inatoa huduma hizo tajwa kwa njia ya mikopo nafuu isiyokuwa na riba wala dhamana.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba, ili tuendelee tunahitaji vitu vinne katika kuchangia maendeleo. Vitu hivyo ni Ardhi, Siasa Safi, Uongozi Bora na Watu. Kwa msingi huu Mwalimu alimaanisha kwamba, ardhi ni miongoni mwa misingi madhubuti ya Maendeleo. Hivyo basi, kama wananchi watapatiwa ardhi kwa kadiri inavyotakikana na kuitumia kwa ufanisi basi ardhi itawakwamua kiurahisi katika wimbi la umasikini na kuwasaidi kuwa na rasilimali ya kutosha kwa ajili yao na vizazi vijavyo

HUDUMA ZITOLEWAZO NA KAMPUNI

  • uuzaji wa viwanja na mashamba

  • utoaji wa mikopo ya viwanja na mashmba

  • upimaji wa viwanja

  • utengenezaji (uchoraji) wa ramani

  • upangaji wa miji na makazi

  • ushauri na muongozo juu ya ujenzi

Our Team

MARIAM
MHAGAMA

Operation Manager

SWAUMU
MOHAMEDY

Marketing Manager

RUTOZ
YAHYA

Project Manager

SAM
SIMON

Town Planner/Surveyor

HAROUN
BUNGA

I.T Technician

BAADHI YA MIRADI YETU NA BEI ZAKE!

Mbeziluis sqm@30,000
Mfuruni sqm@13,000
Kimbijibeach sqm@22,000 & sqm@25,000
Kerege sqm@13,000
Gezaulole sqm@25,000
Bunju sqm@33,000
Chalinze sqm@4,000
Morogoro (Mkundi) sqm@9,500
Tanga Muheza sqm@4,000
Dodoma- Nala sqm@3,000, Maungu sqm@7,000, Chamwino sqm@8,500
MASHAMBA Vigwaza ekari 1.2M
Viwanja Unaruhusiwa kulipa kwa miezi 18, kerege 288,000 kila mwezi, Chalinze lipa 89,000 kila mwezi
Ahsante...

2018 | This Website Designed by PUSH DIGITAL